Maneno Mazuri Ya Kumwambia Mpenzi Wako Ili Akupende Zaidi, Wewe ni zaidi ya mpenzi; wewe ni sehemu ya nafsi yangu, sehemu ambayo siwezi kuishi bila 💘💞.